Alhamisi, 26 Aprili 2012

HONGERA RADIO WAPO RADIO YA KIKRISTO KUWA MTANDAONI


Radio ya kikristo ya wapo wameanza kutoa huduma zao katika mtandao wa intanet ni jambo la kupongezwa na kuigwa na Radio nyingine za kipendwa ili watu wa kwenye mtandaoni wapate fursa za kupata neno la Mungu kwa maana nyingi sasa radio wapo imevuka mipaka ya Tanzania na kuifikia Dunia unaweza kusikiliza kupitia blog hii.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK martmalecela
Chapisha Maoni