Jumamosi, 10 Machi 2012

Mwimbaji wa Joyous Celebration kufunga harusi leo


Sphumele Mbabo ambaye ni mmoja wa waimbaji wa kundi la uimbaji la nyimbo  za injili barani afrika Joyous Celebration lenye makao yake afrika kusini anaolewa leo. kundi hili la Joyous limeweza kujipatia umaarufu mkubwa afrika na nje ya bara la afrika na kujinyakulia tuzo mbali mbali za muziki barani afrika. ninamtakia mafanikio mema katika maisha mapya ya ndoa. 
Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni