Jumamosi, 10 Machi 2012

Sikukuu ya W.W.K Katika picha

ikumbukwe kuwa wiki iliyopita kulikuwa na ssikukuu ya w.w.k na ninakuletea baadhi ya matukio katika picha Picha zaidi zipo kwenye Facebook ya kanisa. siku hiyo mhubiri alikuwa Mama Askofu mpya wa jimbo la mashariki kasikazini mama Masawe ambae pamoja na kuhubiri ujumbe wa FAHALI YAKO NI NINI alielezea na ushuhuda njisi yeye na mumewe walivyookoka baada ya kuhubiriwa na Mch Mhayaya ambaye amefungua kanisa lake eneo la masaki.


Charles na familia yake walitoa sadaka ya shukrani kwa kupata mtoto katika ibada hiyo

Ndani ya upako wa Bwana

Kwa wanao mjua Joyce Masak siku hiyo alikuwepo!

Wakati wa Sifa Mrs Malcela Akiimbisha
Mzee Kisiva akimakinika wakati wa neno

Mama askofu masawe ambaye alihubili siku hiyo

Viongozi wakitoa zawadi mbali mbali kwa walengwa wakiwamo wachungaji
Mama Mchungaji akiimba wakati wa kwaya

Kwaya ya WWK wakiimba


Mathayo 6:33 Utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa.
Chapisha Maoni