Ijumaa, 7 Oktoba 2011

BAADHI YA PICHA ZA SIKUKUU YA VIJANA


          Sikukuu ya vijana waka huu imefana siku hiyo iliyoongozwa na vijana kwa kila kitu. vijana waliitumia vilivyo na kuonyesha kuwa kweli wao wana nguvu ya kumshinda shetani. kila lililofanyika lilikuwa zuli na uwepo wa Bwana uliwatembelea kanisa wakati wa kusifu na kuabudu. chini ni baadhi ya picha za sikukuu picha nyingine tembelea facebook yangu utaziona.Kwaya ya vijana ikiimba wakati wa sikukuu

Mwalimu mzima akishusha mistari katika wimbo wa hip hop wa inuka uangaze

Atu akitoa Shukrani mbele za Mungu baada ya kufaulu vizuri katika mitihani yake ya kidato cha sita alipa divicion one .9 ilikuwa siku ya sikukuu ya vijana tar 02/10/2011

mpiga dram John Nduta akionyesha utalaamu wake wakati wa sikukuu

wazee wa suti nyeusi hii ni kwenye sikukuu na si mkutano wa kimaifa.

Mkongwe na mchalazaji wa gita la bass akionyesha umahili wake
Kwaya ya Revival iko kwenye maandalizi ya kwenda kurekodi maandalizi mengi yameshafanyika na hapa chini ni mtengeneza mziki (produzer) Tom akitengeneza nyimbo zitakazoenda kurekodiwa. zoezi la kurekodi litakamilika mwezi 11. 
Chapisha Maoni