Jumapili, 21 Agosti 2011

Maoni ya wasomaji

Martin umenena vema na wakati uliokubalika. Uishi milele na familia
yako ukimtumikia Mungu pasipo ulegevu.
Bwana na aendelee kukutakatifuza.
Vivyo hivyo kwa MH wote humu ndani.
On 8/19/11, Kombe G <kombe.g@gmail.com> wrote:
> Asante sana.
> Umenifanya nikumbuke hili vesi:"Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati
> wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, angawa ni bwana wa yote; "
> (Wagalatia 4:1).
Chapisha Maoni