Hatimaye mwimbaji mwingine wa Christs Boys Nehemiar Chilongani ameondokana na ukapera baada ya ku kufunga harusi katika kanisa la TAG Magomeni tar 19/04/2011 wawili hawa walikutana katika visiwa vya Zanzibar baada Christs Boyz Band ilipoenda huko kufanya huduma katika mkutano wa injiri.
Maoni 3 :
Pamoko sana hiii
MWANAMKE HINA BABU
Umeona eeh amekulia Zenji huyo
Chapisha Maoni