Alhamisi, 5 Mei 2011

Mwimbaji wa Christ Boyz Band auaga ukapera

Hatimaye mwimbaji mwingine wa Christs Boys Nehemiar Chilongani ameondokana na ukapera baada ya ku kufunga harusi katika kanisa la TAG Magomeni tar 19/04/2011 wawili hawa walikutana katika visiwa vya Zanzibar baada Christs Boyz Band ilipoenda huko kufanya huduma katika mkutano wa injiri.

Maoni 3 :

Unknown alisema ...

Pamoko sana hiii

Bila jina alisema ...

MWANAMKE HINA BABU

Bila jina alisema ...

Umeona eeh amekulia Zenji huyo