Jumanne, 7 Septemba 2010

Watoto wakifundishwa neno la Mungu Magomeni TAG

Nichue nafasi kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote walichangia mada hii ya malezi ya watoto. Dr Henry, BM Tumaini, Mwl Prosper. naweka pozi kidogo lakini nitarudi tena kuna mambo mengine yahusuyo watoto. cha msingi hapa ni kumwomba Mungu atusaidie kuwalea watoto katika msingi ya kimungu na wasitawaliwe na nguvu za shetani, bali wakuwe katika kicho cha kumjua Mungu na tusiache kuwafundisha na ikibidi hata fimbo ili tu wakae katika mstari mzuri. Asanteni sana Martin
Chapisha Maoni