Jumanne, 7 Septemba 2010

Debora Mwaisabila Mkongwe kwenye nyimbo za Injili

Mwimbaji wa nyimbo za injiri Debora Mwaisabila kutoka Mbeya akitumbwiza katika kanisa la TAG Magomeni akiimba wimbo wake maarufu wa usinipite na Msimamo ilikuwa ni siku ya kusifu na kuabudu ni mwimbaji wa siku nyingi na amekuwa ni mwalimu mzuri aliyeibua vipaji vya waimbaji wengine wa injili kama Bahati Bukuku, Bonny mwaitege na wengine wengi.
Chapisha Maoni