Ijumaa, 6 Agosti 2010

Tupeleke Injiri kwa watoto piaKwa kweli tunatakiwa tupeleke injiri kwa watu wote bila kujali watoto au wakubwa kwa sasa watoto wetu wamekamatwa sana na shetani tunatakiwa kufuatilia kwa karibu maisha ya watoto wetu na wa jirani zetu

kama ambavyo Mama Salma Kikwete anavyosema Mtoto wa mwenzio ni wako tunapaswa kuwaombea angalia picha za hapo juu yaani ni uishetani mtupu hii imeanzia ulaya na mda si mrefu utaona hata Tanzania itafika maana mitindo mingi inaanzia ulaya kama kuvaa heleni kusuka nywele kwa wanaume. tukiwafundisha watoto tutakuwa tumewekeza maana hawataiacha hata watakapokuwa wazee. ninacholenga hapa ni kuwakinga watoto kabla mambo haya hayajatokea itakuwa ngumu sana kuwarekebisha.
Chapisha Maoni