Ijumaa, 6 Agosti 2010


Kanisa la TAG Magomeni (all Nations Christian center), ibada ya j2 tulitembelewa na washiriki wa bongo starsuch wa mwaka 2009 ambao ni Pascal Kasiani ambaye alikuwa mshindi no 1 na kujinyakulia donge nono la Tsh 15,000,000 na mwingine alikuwa Imani Lisu alishika nafasi 7. nifanikiwa kuonana nao na kujua mawili matatu kuwahusu Pascal amesha toa albamu yake ya gospel inayoitwa Jerusalem na yuko kwenye maandalizi ya kutengenezea video lakini na Imani Lisu ambaye alikuwa anaabudu kanisa la living water Kawe kwa Mtume Ndegi kwa sasa sijajua nae ametoa albamu inayoitwa kwa upako huu na alipata nafasi ya kuimba wimbo mmoja unaopenda na watu wa Magomeni Niamukapo Asubuhi.Pia waliongeza kuwa kwa sasa wanajianda kuzirekodi njimbo hizo kwenye video. Picha hapo juu kwanzia kushoto ni Imani Lisu Martin Malecela Pascal Kasian na Aloyce Didier Mtaramu wa kutengeneza kava za cd nk. by Martin Malecela
Chapisha Maoni