Jumatano, 18 Agosti 2010

TUNAWAPA WATOTO WETU MAFUNDISHO BORA?

Sawa na asante Martin.
-Ni kweli watoto wanahitaji kufundishwa na kulelewa bila shaka na kuelekezwa (To care, to teach and to guide) na kulindwa.
-Mzazi, jamii na taifa na kanisa ndio lenye wajibu huo, au vipi.
-Kinachonipa shida ni
A) Wazazi wenyewe tuna kitu cha kuwafundisha hao watoto?
B) Hicho kama tunacho, ndicho ni mapenzi ya Mungu?

C) Kama hatuna au hakitoshi, tuanzie wapi sasa..kicheni pati? sebule pati? Semina? au unyagoni/ajndoni?
-Friends, I think we real need to consider our ways as far as family affairs are concerned.
-Tujadili hapa: Where have we gone wrong? and where should we start. Can you draw a picture of the future of you beloved son/daughter, who faithfully FOLLOWS YOUR TEACHING and EXAMPLE or doing exactly What you are Doing>>Tumaini..Mtoto wa nyoka ni nyoka, ni kweli?

Natoa hoja

                                                     Familia nzuri ya Dr Luhinguka
Chapisha Maoni