Alhamisi, 21 Februari 2013

INTELLECTUAL WORKSHOP ILIFANA SANA

Workshop ya kutambua kipaji chako na namna ya kukitumia ilifana sana. Workshop hiyo ilifanyika katika kanisa la TAG Magomeni, iliandaliwa na umoja wa wanafunzi chini ya chama cha vijana Magomeni. katika workshop hiyo walimu walikuwa ni Prosper Mwakitalima aliyefundisha somo la ujasiliamali na Samuel Sasali aliyefundisha somo la namna ya kutambua kipwa chako na kukitumia.

waliofika hawawezi kujuta kutokana na mafundisho waliofundishwa vile vile katika tukio hilo Mwimbaji mwana hiphop Aloyce kutoka The god chosen rapper alionyesha umahili wake wa kuchana verse kwa kutumia mziki wa live na si kuplay back cd kama ambavyo waimbaji wengi wa hiphop duniani wanavyofanya.
Samuel sasali Akifundisha

Militon akiongoza vipindi ni kati ya wanakamati walioanda

Prosper Mwakitalika moja ya walimu waliofundisha

Wanakamati walioanda workshop hiyo

Nao walikuwepo

blog hii ililusha workshop hiyo live mtandaoni na baadhi ya watu waliokosa kufika kanisani waliweza kusikiliza mtandaoni


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: