Askofu Kakobe ambaye alikuwa na kanisa Mwenge na baadae
akaonekana kubadilisha jina la huduma yake na kuwa ya kimataifa sasa ana anza
na mkutano mkubwa huko Canada. Mkutano huo ambao umeandaliwa kisasa kwa kufanya
booking kama utakuwa huna mahali pa kulala kuna hoteli ya kisasa ambayo watu watapa punguzo maalumu kwaajili ya mkutano huo. Katika tangazo katika mtandao inaonyesha Yule mwimbaji wa kimataifa
ambaye alikanyaga Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka jana Don Moen ndiye atakaye
ongoza sifa katika mkutano huo.
mahali utakapo fanyika mkutano
This Bishop Zachary Kakobe Miracle Healing Crusade in Toronto, CANADA.
Venue: REXALL CENTRE - Toronto, CANADA
Date: June 20 - 23, 2013.
It is Free and Public. You are all Invited.
watakaohudhulia mkutano huo watalala kwenye vyumba hivi fanya booking |
Don Moen Mwongoza sifa na Askofu Kakobe mhubiri |
Mahali pa kula |
Ukumbi unavyoonekana kwa ndani |
Blog hii ina mtakia mafanikio mema huko kimataifa
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni