Ijumaa, 4 Januari 2013

KING CHAVALA AFUNGA SEASON ONE KWA "OMEGA DE ONE!!!" NDANI YA HEMA HEMA LA KISASA LA VCCT,MBEZI BEACH A TAR 30TH DEC 2012!!!

 KWA MBALI ANAONEKANA MC RICHARD CHIDUNDO AKIANZA KUSHEREHESHA NA KUTOA MWONGOZO WA TAMASHA!!
1st Q Dancers wakiwa jukwaani kwa ajili ya Dance


WAKIENDA SAWA NA MIONDOKO YA KISASA

KING CHAVALA AKITAFAKARI KABLA YA KUPANDA JUKWAANI

RAPHAEL RYOBA,fundi Mitambo akiwa Mpello,Parvina na Samwel Yona

1st Q ndani ya Miondoko ya Sebene

Sehemu ya Wageni Waalikwa wakifuatilia kwa makini,Kiti cha mwanzo ni MAMA MERY WA YESU!!

 KWA HAKIKA UKUMBI ULIFURIKA,KILA MMOJA AKIWA NA SHAUKU YA KUCHEKA TENA!!
WAGENI WAALIKWA WAKIFUATILA KWA MAKINI....OMEGA DE ONE!!!

Mmoja ya Wa Wachezaji wa 1st Q,Belinda Lifard akiwa na Ushuhuda wa December!!

CAROLINE JESSE AKIFANYA USHAIRI WA KIZUNGU

King Chavala akiingia Ukumbini huku akisindikizwa na 1st Q Dancers

King Chavala akiwa jukwaani

 HAPO MNATAKIWA MCHEZE HIVI........NI MAAGIZO KWA DANCERS
Hapo je? Chavala anayaweza?

Clown Chavala a.k.a The King Of Stand Up Comedy akifanya Stand Up Comedy!!

 KWA HAKIKA HILI NI TAMASHA AMBALO LILIKUWA LA KIPEKEE SANA!!!
Prosper mwakitalima pia ni kati ya hadhira waliohudhuria tamasha hili!!

MC Chavala akiendelea jukwaani!!

 KWA HAKIKA TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUTUWEZESHA KUFANYA MATASHA SABA NA TOURS NYINGI NA HATIMAYE KUFIKA MPAKA HAPA,HATIMAYE SEASON ONE IMEKWISHA ,SASA TUNATARAJI KUFUNGUA SEASON TWO MWEZI APRIL 2013!!!

AHSANTE KWA NDUGU,JAMAA,MARAFIKI,WASHIKA DAU,MARAFIKI,WATUMISHI NA WANAKAMATI WA LAUGH AGAIN CONCERT SERIES!!!!

Habari kwa hisani ya king chavala
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: