SOS walio fanya tamasha kubwa pale jangwani na kukusanya wazungu zaidi ya 200. wameahidi kurudi tena mwakani, taarifa zilizo ifikia blog hii zimesema zamu hii itakuwa ni ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake wajiandae mwezi ya sita kuwa ugeni huo mkubwa ambao unaongozwa na mwinjilisti Johannes wa SOS International kutoka Sweden.
|
Johannes Kiongozi wa SOS Internetional |
pamoja na mambo mbali mbali watakayo yafanya kutakuwa na kuhubiri habari njema za ufalme wa Mungu. na baadae watakuwa katika mkoa wa Tanga ambao asilimia 90 ni waislamu. watakuwa katika mkoa huo kuhubiri na uwaleta waislamu kwa Yesu. huduma hiyo ya SOS International wameomba ushirikiano wa maombi ili Mungu afanikishe mipango ya mikutano hiyo itakayofanyika TZ na kwingineko Duniani.
|
SOS Band |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Maoni 1 :
Hi, i think that i saw you visited my web site thus i came to “return
the favor”.I'm attempting to find things to improve my web site!I suppose its ok to use a few of your ideas!!
Feel free to visit my page :: weightloss.com
Chapisha Maoni