Lile kongamano lililokuwa linasubiriwa na watu kwa siku kadhaa hatimaye limeanza leo. kongamano hilo waliloandaliwa na huduma ya VHM limehudhuliwa na watu wengi kutoka sehemu mbalimbali za hapa Dar.
baadhi ya picha za kongamano hilo utaziona njinsi watu walivyo hamasika. kongamano hilo la siku mbili linafundishwa na walimu wabobevu kutoka South Africa. kongamano hili ni la pili kufanyika hapa nchini baada ya lile la kwanza kufanyika mwaka jana. wanaohudhulia wanajifunza masomo ya kusifu na kuabudu na namna ya kuunganisha vyombo vya mziki sawasawa(ufundi mitambo) masomo haya yanafundishwa na walimu walio na uzoefu wa kutosha.
|
Wapiga vyombo wakiwajibika katika kongamano hilo leo |
|
watu wakimsikiliza mwalimu akifundisha somo la kusifu na kuabudu |
|
waalimu wa kongamano |
|
Mch Mitimingi akienda sawa na waongoza sifa |
|
Mch Peter Mitimingi mwenyji wa kongamano hilo
kongamano hili linatarajiwa kumalizika kesho kama una nafasi usikose chakula kinapatikana palepale kanisani.
|
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni