Jumatano, 22 Agosti 2012

THE VOICE WAWASHUKURU WADAU KWA KUMSAIDIA MWIMBAJI MWENZAO

Picha mbali mbali zikiwaonyesha the Voice na uncle Jimmy wakiwa katika studio za Praise power Radio
 
Kikundi cha the voice kimewashukuru wadau mbali mbali wa injili waliojitoa kumsaidia wenzao aliyepatwa na ajari mwezi uliopita. The voice ambao walikwenda kwenye kituo cha radio ya praise power kuwaeleza wadau shukrani hizo.
fuata link hii kujua habari za ajali hiyo
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: