Jumatano, 22 Agosti 2012

PASTOR WAMBURA AFUNGUA STUDIO KUZINDULIWA ALHAMISI, MASANJA AWAHI KUFANYA COLLABO NA WAMBURA

mwimbaji wa njimbo za injili anayejulikana kwa jina la Pastor Wambura amefungua studio ya kisasa kabisa eneo la Mwananyamala. mwimbaji huyo anayepiga sana miondoko ya sebene na akiwa jukwaani huwezi tofautisha kipaji chake na waimbaji wasebene wa kikongo, studio yake hiyo ameipa jina la NIKOAMBAYENIKO STUDIO. habari zilizoifikia blog hii zinasema kuwa kwa sasa studio imeshakamilika na uzinduzi unafanyika kesho kutwa alhamisi.
Steve Wambura akiwa ndani ya studio yake ya nikoambayeniko

muonekano wa ndani
studio hiyo ambayo iko chini ya producer kutoka Dodoma anayeitwa Zakayo Shushu na  tayari Masanja Mkandamizaji amesha rekodi wimbo mmoja na Pastor wambura katika studio hizo na utatoka hivi karibuni. watu wote wanaotaka kurekodi wamekaribishwa katika studio hizo.
                                    Steve wambula na Masanja mkandamizaji wakiingiza vocal

Hapa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Masanja mkandamizaji
 
pata kionjo cha wimbo wa Steave Wambura
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: