wanagospel
hip hop hapa nchini Tanzania wanatarajia kufanya tamasha lao la kusifu na
kuabudu katika kanisa la pentecoste gospel mission [PGM CHURCH] lililopo
vingunguti stand nyuma ya sheli mkabala na soko la ogerea kwa mchungaji Barnabas
kimbe wanagospel hip hop mbali mbali watakuwepo kumsifu bwana kama vile bryain
mwimba,preacher gazuko,rungu la yesu,sir mbezi,martin bashando,mzee wa
neno,dp,johanes kanani na wengine kibao
wanagospel hip hop
mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja ambapo siku hiyo watakuwepo kumsifu
Bwana kushoto ni john aneyefuata ni sir mbezi anayefuata tena ni dp baada ya dp
ni william nyangi mwisho ni preacher gazuko aliyesimama chini ni dialo
anton
Rungu la yesu naye
siku hiyo atakuwepo
kimsifu bwana katika tamasha hilo la wanagospel hip hop
hapa nchini tanzania
dot com generation watakuwepo wakimsifu bwana ambalo ni kundi la wanaharakati
wawili martin bashando na bisop nicodemas shaboka
preacher gazuko atakuwepo mahali
pale katika tamasha la wanagospel hip hop kwa ajili ya kumsifu Bwana katika
tamasha la gospel hip hop nawanaharakati wa gospel hip hop
Maoni 1 :
The energy exercising is incomplete with no the proper dumbbells and these
Bowflex dumbbells are only the answer of the.
My webpage; Click On this page
Chapisha Maoni