Hii si sinema ya kuigiza bali ni habari ya kweli
Na cha kushangaza mchungaji huyo alitumia vifungu vya Biblia kufungisha ndoa hiyo ya wake wa 3 kwa mpigo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Watu wote tunajua
kuwa ukristo hauruhusu ndoa ya mke mmoja tu na si zaidi ya mke mmoja, uelewa
huu na mkazo wa mke mmoja umekuwa ukifuatwa na wakristo wote Duniani.
Tukio
hili la kushangaza limetokea katika kanisa moja huko DRC (Zaire) picha ya hapo
juu mwanaume amesimama mbele ya mchungaji wake kubariki ndoa yake na wake zake
watatu.
Na cha kushangaza mchungaji huyo alitumia vifungu vya Biblia kufungisha ndoa hiyo ya wake wa 3 kwa mpigo.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni