Mkutano wa kanisa laTANZANIA ASSEMBLIES OF GOD unaoendelea dodoma umemchagua
Barnabas Mtokambali katika nafasi ya uskofu mkuu kwa awamu nyingine. habari mpasuko zilizoifikia blog hii zinasema askofu huyo amepita kwa kura nyingi za 93 asilimia. kura za awali za maoni za kupendekeza zilionyesha dalili ya moja kwa moja kuwa anakubarika na asilimia kubwa ya wachungali.
Mchuano Mkubwa ulikuwa katika nafasi ya Makamu wa Askofu ambapo Dr. Muhiche alichuana vikali na Bishop Kameta katika kinyang'anyiro hicho Dr. Muhiche alifanikiwa kutetea kiti hicho kwa mara nyingine.
Pastor Ron Swai amechaguliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God kwa mara nyingine.
Kwa maana hiyo Viongozi wote wa Kamati Kuu Wamefanikiwa Kutetea nafasi zao kwa miaka minne mingine.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Barnabas Mtokambali katika nafasi ya uskofu mkuu kwa awamu nyingine. habari mpasuko zilizoifikia blog hii zinasema askofu huyo amepita kwa kura nyingi za 93 asilimia. kura za awali za maoni za kupendekeza zilionyesha dalili ya moja kwa moja kuwa anakubarika na asilimia kubwa ya wachungali.
Mchuano Mkubwa ulikuwa katika nafasi ya Makamu wa Askofu ambapo Dr. Muhiche alichuana vikali na Bishop Kameta katika kinyang'anyiro hicho Dr. Muhiche alifanikiwa kutetea kiti hicho kwa mara nyingine.
Pastor Ron Swai amechaguliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God kwa mara nyingine.
Kwa maana hiyo Viongozi wote wa Kamati Kuu Wamefanikiwa Kutetea nafasi zao kwa miaka minne mingine.
Akofu mkuu akitoa machozi ya shukrani
kesho utaendelea uchaguzi wa viongozi wa majimbo
|
Maoni 1 :
Mimi namshukuru mungu kwa kutupa viongozi wa kanisa wazuri wenye maono napenda kuwapongeza wachungaji wa TAG kwa kazi yao nzuri.
Chapisha Maoni