Jumatano, 8 Agosti 2012

BENJAMIN DUDE KUREKODI LIVE DVD 1 SEPT 2012


Kwaya ya Spirit of Praise inatarajiwa kurekodi live DVD vol 4 katika kwaya hiyo watakuwepo waimbaji maarufu kama Benjamini Dude Zaza, Tshepiso, Kgotso,Omega, tukio hilo litafanyika
 tar 1 September 2012 katika ukumbi wa Big Top Arena, katika mji wa Carnival City. kwa habari zaidi tembelea link hapo chini. 
http://online.computicket.com/web/event/spirit_of_praise_4/648862836/0/48824922
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: