![]() |
Masanja Mkandamizaji akiimba |
![]() |
Watu wanao furika katika viwanja vya jangwani |
![]() |
Watumishi wa Mungu wakiwa wanaangalia uimbaji |
![]() |
Solomoni Mkubwa akiimba |
![]() |
Solomoni Mkubwa Kutoka Kenya akiimba |
![]() |
Masanja mkandamizaji akimtukuza Mungu |
![]() |
Waimbaji wa nyimbo za injili Faraja Ntaboba na Bonny Mwaitege wakimpongeza masanja mkandamizaji kwa kumbeba |
![]() |
watu wakiwa wamenyoosha mikono juu kumrudia muumba wao na kutokana na technolojia kukua utaona watu wengi wanarekodi matukio kupitia simu zao |
![]() |
Mkutano huu unarushwa moja kwa moja na kituo cha radio cha wapo FM hapo unamwona Father Lupia akitangaza mkutano |
![]() |
waimbaji wakiimba |
![]() |
Umati wa watu |
![]() |
Askofu Dr Moses Kulola akiongea na waliokuja kukata shauri |
MKUTANO HUU UNAENDELEA TENA LEO KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI KAMA UNA NAFASI FIKA UKUTANE NA MUNGU LA SIKILIZA WAPO FM UTASIKIA LIVE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni