Alhamisi, 23 Aprili 2015

UZINDUZI WA JESSICA BM ULIKUWA HIVI


A15
Muimbaji Jessica BM  amedhihirisha yeye mkali baada ya kufanya kweli kwenye uzinduzi wake wa albam ya DVD ”NIMEZIMA UKIMYA” ndani ya World Alive Sinza.Kizuri zaidi watanzania wenye kupenda muziki wa Gospel walijitokeza kwa wingi kusupport huduma ya Jessica BM wakiwemo wadau wa tasnia ya Gospel Tanzania.Kabla ya uzinduzi huo kufanyika walitangulia waimbaji mbalimbali kama Edson Mwasabwite,Christopher Mwahangile,Tumaini Njole,Rehema Peter na Doxers Praise Team wa World Alive

Baada ya waimbaji hao kumaliza hawamu yao alifatia Jessica BM akisindikizwa na Boyz II Men pamoja na back vocal walio valia suti nyeusi pamoja na mashati meupe huku wakiwa wamening’iniza neki tai nyeusi…..asikuambie mtu ukumbi ulipiga keleeee za ajabu huku Jessica akishusha vocal zahatari.Twende sawa na matukio 40 ya picha kwa hisani ya james TemuA40
Bomby Johson akiwa na Prospar Mwakitalima……
A4 A5 A6 A7
Mc wa event Victor Aron wa Praise Power Radio….
A8
Huyu Mtoto Rehema Peter anakipaji kikubwa sanaaaaaa
A9 A10
Mashemeji
A11
John Honore akienda sawa
A12 A13
Huyu Baba Victor Aron sikujuaga kama ni kituko mweeee!!
A14
Mume wa Jessica Mr Magupa akitaja baadhi ya wageni waliofika kwenye uzinduzi wa DVD ya mkewe.
A16 A17 A18 A19 A20
Usipate tabu mdau wangu…..waite Boyz II Men
A21 A22
Mamaa Jessica BM akaanza kufanya kweliiiiiii!!
A23 A24 A25 A26
Huyu Kaka mwenye tarumbeta ni msikilizaji maarufu wa Praise Power Radio….muite NINDI BOY.Uzalendo ulimshinda akavamia stage.
A27 A28 A29 A30 A31 A32
Mgeni rasmi Alex Msama
A33 A34 A35
Wawili wa milele MR&MRS MAGUPA
A36 A37
Mgeni rasmi Alex Msama hapa walikua wakishindana na MC Victor Aron nani atoe shekeli kwanza.
A38
Mc Victor akimpatia Mic Joseph Nyuki,,,,,,,,,kama unatamani kujua mengi kuhusu Nyuki fatilia Chomoza ya Clouds TV.Nyuki kwa miaka kadha alipotea Tanzania….unataka kujua alikua wapi?Anafanya nini?….Tukutane kwenye Chomoza Mdau wangu.
A39
A3
Umesema namba yako ni 0713-4648……Mese Jacob na Victor Aron

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni