Jumatatu, 2 Machi 2015

VHM WAPATA NYUMBA INAYOTEMBEA KWAAJILI YA HUDUMA VIJIJINI

MAKAMANDA WA VHM MKAE MKAO WA KULA! Nawaletea chombo hicho cha kuendea vijijini hahahah! Yaani ni full nyumba vyumba vya kulala, jiko, bafu, choo, seating room Tv, Friji yaani kifupi ni nyumba inayotembea! Bwana Yesu subiri kidogo tupige kazi!

Chapisha Maoni