Jumatano, 4 Machi 2015

UZINDUZI WA ALBAMU YA ONGOZA HATUA ZANGU YA CHRISTINA SHUSHO ILIKUWA HIVI

U17 
 
Mheshimiwa Nyarandu Mch Makezi kulia na Christina shusho wakicheza katika uzinduzi huo
U7
Christina Shusho akiwa na Mr&Mrs Misericordias Mushi.
Tamasha la uzinduzi wa albamu ya Christina Shusho (ONGOZA HATUA ZANGU) ulifanyika siku ya J/pili majira ya saa nane mchana viwanja vya kanisa la Pentekoste Tabata Kisiwa jijini Dar es Salaam.Watu mbalimbali wali jitokeza kushuhudia uzinduzi huo wakiongozwa na Mh.Waziri wa Maliasili Lazaro Nyarandu pamoja na waimbaji wengine.
Yafatayo matukio ya picha kwa hisani ya Mabisa
U9
U11
U12
Watu mbalimbali wakifatilia uzinduzi
U8
U13
U14
U16
Mh. Lazaro Nyarandua akiserebuka pamoja na Christina Shusho.
U17
Picha ya kava ya CD
U18
kwa hisani ya uncl
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni