Jumamosi, 28 Machi 2015

KARIBU KWENYE UZINDUZI

Uzinduzi Uzinduzi wale wapenzi wa nyimbo za Injili na wote wenye mapenzi mema mnakaribishwa kushiriki katika tamasha la uzinduzi wa audio na dvd. Siku ya Jumapili tarehe 29. 03. 2015. Muda ni saa 8 mchana na kuendelea. Jenifa Mgendi, Bahati Bukuku na Christina Shusho watakuwepo, pamoja na mama Mch Mary Kanemba.


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni