Jumamosi, 3 Januari 2015

YESU NI BWANA YA GAZUKO SASA UKO HEWANI UNAWEZA KUUANGALIA HAPA

Mwimbaji wa njipo za gospel flava Gazuko Jr mwishoni mwa mwaka jana 2014 ameipua kibao kipya kinachosema Yeasu ni Bwana, wimbo huo umetengenezwa na The eagle view pro, chini yaproducer Edwin Mrope. wimbo huu umetoka rasmi mwaka huu 2015 uangalie hapo chni.


       
            
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni