Jumapili, 18 Januari 2015

KIANGO MEDIA NI HABARI ZA MUJINI KUZINDULIWA RASMI KESHO TAR 19/01/2015/ SAA 9:19:19 USIKOSE

habari ya mjini ni ujio wa kiango media ambao wamedhamilia kuleta mapinduzi makubwa kwenye ukristo kwa ujumla. akiongea na blog hii MD wa kiango media Samuel Sasali alisema wako na ari na nguvu ya kupeleka gurudumu la injili mbele kutumia akili na uwezo walionao na kutumia technolojia ya kidigitali katika kuhubiri injili kwa ujumla. Tar 19 saa 9:19:19 itazinduliwa redio ya mtandaoni ambayo itakuwa inasikika dunia nzima. http://www.ustream.tv/channel/kiangonlineradio kwa link hii unaweza kusikia kila kinachoendelea, siku hiyo timu nzima "the dream team" watakuwa studio kutangaza rasmi ujio wa redio hiyo. lakini baada ya hapo kuna vitu vingine vingi vitaendelea kuzinduliwa hatua kwa hatua. na unaweza kuwapata facebook https://www.facebook.com/kiangomedia.

Blog hii ilipata nafasi ya kumuliza Md Samuel Sasali maswali matatu hapo chini
 • Martin Malecela
  Martin Malecela
  Md watu watarajie nini kutoka kiango?


  Samuel Nathaniel Sasali
  Samuel Nathaniel Sasali
  Watu watarajie kitu kinachoitwa "mapinduzi ya media" katika Ukristo. Kiango kama Timu tuko tayari kwa mabadiliko

  Martin Malecela

   Nini maana ya kiango?
 • Samuel Nathaniel Sasali
  Kiango ni neno liliko katika Matthew 5:15.
  Likiwa na maana ya kitu kinachoshika mwanga na kuonekana. Kazi yetu ni kuinua vipawa na karama za watu vionekane.
Basi ungana na waka kiango kusikiliza radio hiyo online na watu wanaotumia Android basi wanaweza kudownload application ya kiango kwenye play store na ukawa unasikiliza kupitia simu yako au tablets nk.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni