Jumamosi, 20 Desemba 2014

NJOO TUANZE SHAMRA SHAMRA ZA CHRISTMAS PAMOJA. WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA.

 Siku ya Kesho Jumapili tarehe 21st December, 2014 Chomoza Ya Clouds Tv na Gospel Trucks (GT) ya Clouds FM wanakuletea Gospel Concert maalum kwa ajili ya Christmas (Christmas Carols) Kwenye Parking ya Mlimani City Mkabala na Ukumbi wa Mlimani City. Waimbaji wa Music wa Injili watakaokuwepo ni Rivers Of Life kutoka DPC, The Voice, Uinjilisti Kijitonyama, AIC Chang’ombe, Children's Choir kutoka DPC pamoja na Next Level Kutoka CCC Upanga. Event hii maalum ya Christmas itaanza kuanzia saa 1 jioni Mpaka saa 3:30 Usiku. HAKUNA KIINGILIO NI BURE KABISA. NJOO WEWE NA RAFIKI YAKO, NJOO TUANZE SHAMRA SHAMRA ZA CHRISTMAS PAMOJA. WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA. Merry Christmas
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni