Jumanne, 2 Desemba 2014

KIANGO RADIO KUANZA KAZI RASMI WANATAKIWA WATANGAZAJI JISAJIRI UKASHIRIKI NA UCHAGULIWE


Kiango Radio ni Radio Ya Gospel inayotarajia kuanza kazi siku chache Zijazo. Kiango Radio inatafuta Radio Presenters wa Kujitolea.
Usaili kwa ajili ya Presenters utafanyika Siku ya Jumamosi katika Hotel Ya Tamal iliyoko Mwenge Jijini Dar-es-Salaam kuanzia saa 3 kamili asubuhi.
Kama unataka shiriki zoezi hili thibitisha kwa nambari za Simu Zilizo katika hili tangazo hili.
Andika.....KPS (Kiango Presenter Search) acha nafasi Andika Jina lako kamili Maana tutaita watu kwa majina yao.
Kwa maelezo zaidi piga simu kwa namba hizo.
SourceSamuel Sasali

Http:www//kiangonlineradio.com
 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni