Alhamisi, 6 Machi 2014

IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU YAFANA NI KATIKA HUDUMA YA ASSAPH


Jumapili iliyopita ilikuwa ni ibada maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha miaka 3. kwa mjibu wa Mchungaji kiongozi Rev Ben alisema huduma hiyo ilianzishwa tar 13/02/2011. huduma hiyo iliyopo Buguruni Rozana katika ukumbi wa Heros hotel imekuwa baraka kwa watu wengi ndani ya nchi na nje ya nchi. Akizungumuza katika ibada hiyo alisema anamshukuru Mungu kwa kuwatia nguvu kwani wamefanya huduma bila kuchoka mchana na usiku na wakati mwingi wamekuwa wakiwafuata wahitaji kwenye majumba yao kuwahudumia.
MWIMBAJI BINAFSI AKIWAJIBIKA JUKWAANI

PAPA EVA AKIIMBA WIMBO

WATOTO WAKIIMBA SHAIRI


huduma yetu tumejikita sana katika maombi na maombezi pamoja na ushauri wa mambo mbalimbali ya kiroho, hakuna lisilo wezekana kwa Mungu wetu watu wote wanaokuja wanapata majibu ya mahitaji yao
WAMAMA JESHI KUBWA WAKIIMBA WIMBO

PRAISE TEAM WAKATI WA SIFA

kUABUDU

uWEPONI MWA bWANA

REV BEN AKIFANYA MAOMBI

MAMA MCHUNGAJI AKIHUBIRI

MOJA WA WALIOHUDHULIA IBADA HIYO AKISHUHUDIA BWANA ALIYOMTENDEA KUPITIA HUDUMA HII

BAATHI YA WAANZILISHI WA HUDUMA HII WAMEKUWAPO KWA MIAKA YOTE 3
UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA 0782499991 AU 0754499991
 
Kwa hisani ya http://assaphministriesint.blogspot.com/
Chapisha Maoni