Jumatano, 2 Oktoba 2013

MUIGIZAJI MAARUFU WA NIGERIA AOKOKA....BAADA YA KUOMBEWA KANISANI KWA TB JOSHUA. TAZAMA VIDEO YAKE PAMOJA NA TWEETS ZAKE HAPA.

 Nchi ya Nigeria imeweka historia nyingine kwa msanii mkubwa kumpokea kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yake baada ya Jim Lyke kukutana na nguvu ya Mungu kwenye kanisa la TB Joshua.Hali iliyo mkuta Jim Lyke baada ya
kukutana na nguvu ya Mungu ilimfanya kudondoka chini na mapepo kumtoka,haikua rahisi kwa star huyo kutoa mapepo aliyokuanayo kwani ilichukua muda hadi pale alipo wekwa huru.Tizama tweets aliyoandika TB Joshua baada ya kuwekwa huru Jim Lyke.
Baada ya kukutana na nguvu ya Mungu hiki ndicho alicho tweets Jim Lyke.
Tazama Video yake hapo chini akiwa kanisa la TB Joshua.KWA HISANI YA JIMMY WA CHOMOZA 
 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: