Jumanne, 11 Juni 2013

MKUTANO WA BONNKE WAISHA NCHINI KENYA WATU 225,000, RAIS KENYATTA AHUDHULIA MKUTANO HUOSASA NI ZAMU YA TANZANIA


          WATU “225,000 WALIOHUDHULIA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MKUTANO WA BONKE BONNKE KATIKA UWANJA WA UHURU PARK
                                 Siku ya pili ya mkutano huo
                   Siku ya jumamosi, watu 200.000 walihudhuria

SIKU HIYO NA RAIS NA MAKAMU WAKE WALIHUDHULIA MKUTANO HUO ULIFANYIKA UHURU PARK
 
MAKAMU WA RAIS LUTO AKISALIMIA WANANCHI
 
 
RAIS UHURU AKISALIMIA WANANCHI
 
UMATI WA WATU WALIOKUWEPO UWANJANI
 
Hakika ilikua ni siku ya kipekee  kwa wa Kenya na  nchi jirani. Ishara na ajabu zimeonekana katika viwanja vya  Uhuru  Park, ambapo Mungu amemtumia mtumishi wake Reinhard Bonnke  kwa jinsi ya tofauti. Utukufu na heshima apewe Bwana.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni