Kama uonavyo hapo kwenye picha jengo la
kusalia la buguruni Assembless of God limeanguka gafla na kujeruhi
baadhi ya akina mama waliokuwa wamekaa ktk ilo jengo, hakuna
aliye poteza maisha bali wameumia sana wamama kweli mkono wa mungu
umefanya kz na jina la Bwana libalikiwe
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni