Ijumaa, 7 Juni 2013

ALBAMU MPYA YA UPENDO NKONE SASA INAPATIKANA MADUKANI INAITWA YESU NIONGOZE

Mwimbaji wa nyimbo za injili Upendo Nkone sasa ameachilia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Yesu niongoze ambayo kwa sasa inapatikana kwa wasambazaji kote nchini. na kwa wale walioko Marekani wanaweza kuwasiliana na Mchungaji Dionis Nkone.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni