Jumapili, 17 Machi 2013

TAMASHA LA WANA MUZIKI WAKONGWE WA INJILI LILILO FANYIKA LEO DIAMOND JUBILEE.

Leo ndo ilikuwa ile siku ya kuwaona wakongwe walio wezesha au toa mchango mkubwa katika Uimbaji wa nyimbo za gospel. tamasha hilo lililoandaliwa na come ana see promoters lilikuwa zuri kila mtu ame enjoy . waimbaji hao ambao wengi wao wamekuwa na majukumu mengine zaidi uimbaji kwa sasa wengine hawapatikani kwanamekuwa wachungaji , Maaskofu na wamekuwa katika huduma hizo zaidi ya uimbaji. lakini tamasha hili limewakusanyisha pamoja na kuwa patika vyeti kutambua mchango wao mkubwa waliofanya huko  nyuma.
 Meza kuu ya wageni waalikwa.
 Huyu ndiye Video Camer man wangu wa karibu Mr Haron.Yeye kazi yake kubwa kuakikisha kila tukio alikosekani.Jiandaye kupata show ya nguvu kupitia Clouds Tv soon.

 Tuzo zikitolewa

 Picha ya viongozi wa serikali na waimbaji wa kongwe
kwa hisani ya uncle Jimmy
.KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni