Jumapili, 3 Machi 2013

MUNGU NI MKUBWA AIOKOA KATIKA AJARI YA GARI FAMILIA YA LUMELEZI. TRAFIKI ASHANGAA AULIZA KUWA WAMEOKOKA

Mungu wetu ni mkubwa sana na siku zote huwa anaangalia neno lake ili alitimize. hakika akisema anatulinda ni kweli anatulind tena sana. hili ndilo lililotokea katika familia ya Papa Lumelezi ambaye alikuwa anasafiri kutoka Njombe kulejea Dar kwa kutumia usafiri wao binafsi. wakiwa wakiendelea na safari wlipofika maeneo ya saohill kulikuwa na magari mawili mbele yao na Papa Lumelezi akwawa anataka ku over take akaonyesha endikata kuonyesha kuwa ana over take wakati ameongeza mafuta kwaajili ya ku over take ghafla yule aliyekuwa mbele yake naye akachomoka kuovatake gari la mbele yake sasa kwasababu papa alikuwa amesogea ikabidi na yeye atoke nje ya barabara na akaanza kuyumba na baadae gari ikapinduka na kubilingita mara mbili.
Papa Lumelezi  na mkewe kushoto wakiwa wamevaa kinigeria wako na Mch Kanemba na mkewe


Gari waliyopata ajari

kwa jinsi inavyoonekna gari inaonyesha pamoja na kubiringita ilikuwa angani na shehemu ndogo kugusa chini. baada ya gari kuanguka waanza kutoka kwenye gari cha kushangaza wote waliokuwapo kwenye gari walitoka wazima hakuna hata mchubuko sehemu yoyote. na baadae alikuja trafiki aliona gari na kupata maeleze akashangaa na kuuliza ninyi mmeokoka Lumelezi akajibu ndiyo akasema ndiyo maana. hali yao kifya ni nzuri na hata gari yao imevunjika kioo cha mbele tu na sehemu za juu za gari. tunaungana na familia hiyo kumshukuru Mungu kwa kuwakinga kwa ajali hiyo ambayo najua shetani alikusudia mabaya lakini Mungu aliwawazia mema. Jina la Bwana libarikiwe

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni