Alhamisi, 7 Machi 2013

FLORA MBASHA AFANYA KORABO NA MZEE KULOLA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha ambaye ni mjukuu wa Askofu mkuu wa EAGT Mzee Kulola, wamerekodi wimbo wa pamoja mtu na mjukuu wake. ni mda sasa Flora anamiliki Studio yake na hivyo kumfanya afanye vile anavyotaka na kwa ubora zaidi
Mzee Kulola akituma vocal katika wimbo huo

Akisikiliza kama ameimba vizuri


Tunausubiri kwa hamu kubwa wimbo huo ulioimbwa na mpakwa mafuta wa Bwana Mzee Kulola

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni