Alhamisi, 21 Februari 2013

WAIMBAJI MAARUFU WA INJILI WAJA NA WIMBO WA PAMOJA

Wale waimbaji wote maarufu wa nyimbo za injili wanaendelea kurekodi wimbo wa pamoja, katika ukrasa wake wa facebook Frola Mbasha ameweza wataja baadhi ya waimbaji walioshiriko ambao ni CHRSTINA SHUSHO,FLORA MBASHA,ARNOLD KAYANDA,DAVD ROBERT,E MBASHA,ROSE MHANDO,UPENDO NA UPENDO,MASANJA,BAHATI BUKUKU 

Hapa wakirekodi videowimbo huo ambao utakuwa katika video na audio jiandae kuupokea wimbo huo utakaotoka hivi punde

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni