Alhamisi, 28 Februari 2013

ASKOFU KAKOBE AMEANDAA MKUTANO WA KIMATAIFA CANADA


Askofu Kakobe ambaye alikuwa na kanisa Mwenge na baadae akaonekana kubadilisha jina la huduma yake na kuwa ya kimataifa sasa ana anza na mkutano mkubwa huko Canada. Mkutano huo ambao umeandaliwa kisasa kwa kufanya booking kama utakuwa huna mahali pa kulala kuna hoteli ya kisasa ambayo watu watapa punguzo maalumu kwaajili ya mkutano huo. Katika tangazo katika mtandao inaonyesha Yule mwimbaji wa kimataifa ambaye alikanyaga Tanzania kwa mara ya kwanza mwaka jana Don Moen ndiye atakaye ongoza sifa katika mkutano huo.

mahali utakapo fanyika mkutano
This Bishop Zachary Kakobe Miracle Healing Crusade in Toronto, CANADA. 

Venue: REXALL CENTRE - Toronto, CANADA 
Date: June 20 - 23, 2013.
It is Free and Public. You are all Invited.


watakaohudhulia mkutano huo watalala kwenye vyumba hivi fanya booking

Don Moen Mwongoza sifa na Askofu Kakobe mhubiri

Mahali pa kula

Ukumbi unavyoonekana kwa ndani

Blog hii ina mtakia mafanikio mema huko kimataifa


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni