Jumatano, 2 Januari 2013

SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI UPENDO NKONE

mwimbaji wa nyimbo za injili UPendo Nkone
Jamani Ndugu zangu na Marafiki zangu,
Jamani ninawapenda ! HAPPY NEW YEAR WAPENDWA.
Ninawatakia Mwaka Mpya wenye Baraka na Mafanikio. Asanteni saana kwa urafiki wenu kwangu mwaka 2012. KATIKA MWAKA HUU WA 2013, JAMANI TUMSHIKE MUNGU ZAIDI NA KU-UPENDEZESHA MOYO WA MUNGU.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni