Alhamisi, 6 Desemba 2012

WANTED:KUTOKA B-FAMILY. USIKOSE

 Wewe na Mchumba wako, wewe na rafiki yako, wewe na mume wako, wewe na mke wako, Baba mama na watoto wao! Abel Orgenes na Rebecca Orgenes wanakuandalia - Annual family day - itakuwa 26 December kuanzia saa 8 mchana hadi karibu na usiku - Kigamboni. ufukweni! (mahali maalumu utajulishwa) - program ni pamoja na games maalumu za kusisimua, mashindano yenye zawadi nono (zitatangazwa) ....Ujumbe maalumu wa ki familia wenye matumaini na hamasa ya kuingia mwaka mpya kifamilia....kutakuwa na wakati wa kuweka promise kwa mwenzi wako, kwa watoto wako, kwa mchumba wako, kwa rafiki yako....unapenda kushiriki julisha ili kufanikisha maandalizi kwa msg ukitaja family day- 0715942221
B-Family

Iitakuwa siku nzuri kifamilia na kirafiki, asubuhi unapumzika nyumbani na mchana unatoka saa 8 unakuwa nasi mahali penye hewa nzuri, view nzuri, hakuna joto, unayaangalia maji na unaweza kuyagusa, utaonana na wengi walio katika familia ya Mungu, tutafurahi pamoja na kuwa na vicheko, ni siku ya furaha katika Bwana na ni siku ya kutakiana mema kwa mwaka unaokuja, utaweza kujinunulia vinywaji na vyakula, tutaimba na kucheza, tutafahamiana na kusikia jumbe nzuri fupifupi mbalimbali...utaona watu ambao hukufikiri utawaona....Waweza sema hapa hapa kama waja!

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni