Jumatano, 5 Desemba 2012

DEBORAH MWAISABILA MWIMBAJI ALIYEWANOA WAIMBAJI WENGI YUPO BONY MWAITEGE, BAHATI BUKUKU NA WENGINE WENGI

Beborah Mwaisabila ni mwimbaji wa nyimbo za injili wa siku nyingi ambaye amefanyika daraja la mafanikio ya waimbaji wengi wa nyimbo za injili. Beborah ambaye baba yake ni mchungaji wa kanisa kongwe la EAGT mjini Mbeya.


Pamoja na kuwa ni mwalimu wa muda mrefu katika uimbaji kuna wanafunzi ambao yeye aliwafundisha na sasa wametoka kihuduma na hawawezi sahau walivyofundishwa na mwalimu huyo. Baadhi ya watu waliofundishwa nae ni Bahati Bukuku, Boni mwaitege, na wengine wengi. Beborah ambaye hata yeye Alisha toa nyimbo zake kwa audio na video.Bonny Mwaitege alipitia kwenye ualimu wa Deborah

Bahati Bukuku nae ni mwanafunzi wa Deborah
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni