Alhamisi, 13 Septemba 2012

SEMINA INAYOENDESHWA NA ADAMU HAJI VCC YAWA NA UDHIHIRISHO WA MUNGU TAMANI KUFIKA

Semina ya Neno La Mungu Inayofundishwa na Pastor Adam Haji Katika kanisa la VCCT chini ya Dr. Huruma Nkone imeambatana na Udhihirisha wa Nguvu za Mungu tangu siku Ya Jumapili ilipoanza.

Semina hiyo yenye mafundisho ya neno pamoja na huduma ya Deliverance imewafungua watu wengi waliofungwa na nguvu za giza na kuwaacha huru baada ya kukutana na nguvu za Roho Mtakatifu ambao wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu.

Ikiwa leo ni Siku ya 6 ya Semina ambapo semina hufanyika katika Hema Ya VCCT iliyo Mbezi Beach Kawe Kuanzia Saa 11 jioni Mpaka saa 2 Usiku katika hema hiyo. Huduma ya Neno la Maarifa na Uponyaji hufanyika Katika hema hiyo.

Kwa Mawasiliano zaidi ukitaka kufika katika Semina Wasiliana nami kwa 0713 494110.
Pastor Adam Haji akiwa na Dr. Huruma Nkone Katika Huduma Ya Maombezi siku ya Juzi
Mdada akishangaa Pete ambayo alikuwa ameivaa iliyokuwa inatumiwa kama Point Of Contact katika Ulimwengu wa roho wa mapepo. Siku Ya Jana Mdada huyu aliwafanyiwa deliverance kutoka katika kifungo. Pete hiyo alikuwa amepewa na ndugu yake ambaye alimfunga asifanikiwe katika maisha.
Parking Full.
The Other Side Of parking.
Pastor Adam Haji akiwa amemvua Pete iliyokuwa ikifanyika kama Point Of Contact ya Ulimwengu wa giza. Watu wakishangaa.
Dr. Huruma Nkone akimasaidia Mdada kusimama baada ya Maombezi siku ya jana.
Adam Haji akiongea na Mmoja wa Waliofunguliwa siku ya Jana ambaye alikuwa akivaa helen ambazo zilikuwa Point Of Contact katika Ulimwengu wa giza.
Huyu Mdada alipigwa na Butwaa baada ya Kuombewa na ufahamu wake kurejea akishangaa amefikaje Kanisani.
Ukitazama Vizuri huyu dada anaonekana akiwa na heleni zake wakati maombi yanaanza. Kwa Muda Mrefu huyu Mdada amekuwa akiteswa na nguvu za giza bila kufahamu kuwa heleni zake ndizo zilizokuwa lango la Ibilisi.
Watu wakishangaa mara baada ya kuamrishwa kuvua heleni hizi mara baada ya Kuvua she was completely delivered
Nguvu Za Mungu Zikiwa Kazini siku Ya Jana
Hapa Ilikuwa Juzi Kwenye Semina.
Mbele za Uwepo.
Adam Haji akiwa Kikazi Zaidi siku Ya Jana.
Chris Mauki na Miriam Lukindo wa Mauki Wakiwa Makini Katika Semina.
HApa alikuwa akifundisha namna ya Mungu, Yesu na Roho Mtakatifu wanavyofanya kazi ndani Ya Mwamini na ambayo Lucifer, Majini na Mapepo Yanavyo Copy na Ku-paste utandaji kazi wa Mungu.
Dr. Nkone akiwa Kikazi Zaidi siku Ya Jana.
Pamoja na Tiba za Hosipital Kumbe huyu Mtoto alikuwa akiteswa na nguvu za giza.
Somo la Juzi lilikuwa tamu zaidi ambapo alikuwa akifundisha ni namna gani ndoa nyingi siku hizi zimekuwa na migogoro kumbe wanandoa wengi wanaingia kwenye ndoa huku wakiwa na "Covenants" na mahusiano yao ya siku za nyuma.
Hapa akionesha mtu ambaye anaingia kwenye ndoa huku alikuwa na mahusiano shule, ofisini, mtaani then huyu Mtu anaamua kuoa Mke Mmoja huku akisahau kuwa kuna agano katika Kila tendo la Sex...Jiulize TUKO WANGAPI??
Watu Peopleeeeeeeee
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni