Jumapili, 23 Septemba 2012

PATA DVD YA DON MOEN JANGWANI LIVE

Najuwa utakuwa umesha sahau waimbaji waliokuja na kuweka historia katika Mkutano wa Love Festival uliofanyika Jangwani Tanzania,ambapo Nicole Mullen $ Don Moen waliweka historia katika nchi yetu.


Leo nakupa live ya jangwani na Don Moen.


The Don akiwa katika jukwa la Love Festival Jangwani Tanzania mwezi wa 8 mwaka huu.
UNAWEZA JIPATIA DVD ZA TAMASHA LA JAGWANI KWA BEI YA SH 6000 TU WASILIANA NA UNCLE JIMY WA PRAISE POWER KWA NO 0713763939
Chapisha Maoni