Jumanne, 25 Septemba 2012

MWANA GOSPEL HIPHOP AFANYA ZIARA YA KUFANA HUKO TABORA NI RUNGU LA YESU

Nafahamu wale wadau wa nyimbo za injili jina lungu la Yesu siyo geni kwenu. week iliyopita alikuwa kwenye huduma huko Tabora ambako alialikwa kuhudumu kwenye mkutano wa injili.
                                                                   Rungu la Yesu


akizungumza na blog hii alisema kuwa ziara yake hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa na Mungu alionekana katika huduma aliyokuwa anafanya.

Martin Malecela umesharudi au bado uko TBR

Rungu LA Yesu nimerudi kaka ila kesho naenda Tanga kaka nahitaji sana maombi yako mzee,

Martin Malecela Hakuna shida maombi yangu utapata, nijulishe na huduma ilikuwaje na ilianza lini na iliisha lini

Rungu LA Yesu huduma ilianza tarehe 12mbk 16 maeneo ya Tabora bomba mzinga ni palepale mjini watu zaidi ya 150 waliompa Yesu maisha yao,muhubiri aliyehubiri alikuwa ni rev Amon David wa pale pale Tabora na mkutano uliandaliwa na FPTC bomba mzinga.
Rungu la Yesu akiwa katikati ya watumishi huko TBR
Rungu la Yesu akiwa jukwaani

anahitaji maombi anahuduma nyingine Tanga Mungu bariki watenda kazi wako

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni