Alhamisi, 9 Agosti 2012

NDOA YA WAKE WATATU YAFUNGWA KANISANI

Hii si sinema ya kuigiza bali ni habari ya kweli

Watu wote tunajua kuwa ukristo hauruhusu ndoa ya mke mmoja tu na si zaidi ya mke mmoja, uelewa huu na mkazo wa mke mmoja umekuwa ukifuatwa na wakristo wote Duniani.

Tukio hili la kushangaza limetokea katika kanisa moja huko DRC (Zaire) picha ya hapo juu mwanaume amesimama mbele ya mchungaji wake kubariki ndoa yake na wake zake watatu.

Na cha kushangaza mchungaji huyo alitumia vifungu vya Biblia kufungisha ndoa hiyo ya wake wa 3 kwa mpigo.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni