Jumatano, 30 Mei 2012

WALE MUNAO ISHI SINGIDA MSIKOSE HII, "UZINDUZI WA DVD&CD MPYA WA KWAYA YA MASHAHIDI WA UGANDA KUTOKA KANISA LA MOYO MTAKATIFU WA YESU SINGIDA MJINI".

Kwaya ya mashahidi wa Uganda ni kati ya kwaya kongwe na zinazofanya vizuri katika uimbaji, kwaya hii inayotoka katika kanisa kuu la Roma singida mjini (moyo Mtakatifu wa Yesu) wanatarajiwa kufanya uzinduzi wao Jumapili ya Tar 03/06/2012, ambayo ni siku ya kuwwakumbuka mashahidi wa Uganda huko huko singida, DVD yao imerekodiwa na Boyz Records,inayokwenda kwa jina la TUNU ZA KIKRISTO imetoka vizuri na unaweza kupata radha ya nyimbo kadha hapo chini. woote mnakaribishwa

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni